AfricaAfrika Mashariki

Tanzania dimbani leo nusu fainali U17 CECAFA

TIMU ya taifa ya soka kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17(Serengeti Boys) leo inashuka dimbani dhidi ya Sudan Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya CECAFA kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON).

Mchezo huo utakaofanyika uwanja wa wa Abebe Bikila uliopo Addis Ababa, Ehiopia ni nusu fainali ya pili itakayotanguliwa na mchezo kati ya Uganda na Somalia.

Tanzania imeingia nusu fainali baada ya kuongoza kundi A wakati Uganda imeongoza kundi B.

Related Articles

Back to top button