FANyumbani

Yanga vs Rhino, Simba vs Coastal 32 bora ASFC

DROO ya mechi za timu 32 bora Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) imefanyika leo huku mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga ikipangwa dhidi ya Rhino Rangers.

Katika droo hiyo miamba mingine ya soka nchini Simba itavaana na Coastal Union wakati Azam ikiikabili Dodoma Jiji.

Mechi za hatua ya 32 bora zitacheza Januari 27 mpaka 29, 2023.

Michezo mingine ni kama ifuatavyo:

Singida Big Stars vs Ruvu Shooting
Kagera Sugar vs Kengold
Mtibwa Sugar vs Buhaya
Geita Gold vs Nzega United
Namungo vs Ihefu
Mashujaa vs Tanzania Prisons
KMC vs Copco
Gwambina vs Pan African
New Dundee vs African Sports
Mapinduzi vs Polisi Katavi
Polisi Tanzania vs JKT Tanzania
Mbeya Kwanza vs Mbeya City
Greens Warriors vs Mbuni

Related Articles

Back to top button