Africa

Tanzanite kukipiga kirafiki Algeria

WACHEZAJI 20 wa Timu ya Taifa ya Wanawake U20 (Tanzanite) wamechaguliwa kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Algeria mwezi huu.

Kocha Mkuu wa Tanzanite Bakari Shime amewataja wachezaji hao kuwa ni Zulfa Makau, Aisha Juma, Diana Mnally, Noela Luhala, Violeth Nicholas, Christer Bahera, Joyce Lema, Koku Kipanga, Neema Paul na Hasnath Ubamba.

Wengine ni Alliya Fikiri, Zainab Mohamed, Dotto Tossy, Rahma Hassan, Marry Siyame, Winfrida Hubert, Rehema Ramadhan, Anatoria Audix, Shehat Juma na Zainab Karuka.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button