
TIMU ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 23 leo itakuwa mwenyeji katika mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON) dhidi ya Sudan Kusini.
Mchezo huo utapigwa uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam.
Michezo mingine ya U23 kufuzu AFCON leo ni kama ifuatavyo:
Eswatini U23 vs Botswana U23
Guinea-Bissau U23 vs Niger U23
Libya U23 vs Rwanda U23