World Cup
		
	
	
Stars kazini kufuzu Kombe la Dunia

TIMU ya taifa ya mpira wa miguu(Taifa Stars) inashuka dimbani leo katika mchezo wa kwanza kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Niger.
Mchezo huo wa kundi E utafanyika kwenye uwanja wa Marrakesh, Morocco.
Nchi nyingine katika kundi hilo ni Zambia, Morocco na Congo.
Michezo mingine ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia ukanda wa Afrika inayopigwa leo ni kama ifuatavyo:
KUNDI B
Senegal vs Sudan Kusini
KUNDI C
Afrika Kusini vs Benin
Barani Ulaya pia kuna patashika mechi za kufuzu Kombe la Ulaya ambazo ni hizi hapa:
Kundi B
Ufaransa vs Gibraltar
Uholanzi vs Ireland
KUND D
Armenia vs Wales
Latvia vs Croatia
KUNDI I
Belarus vs Andorra
Israel vs Romania
Uswisi vs Kosovo
				
					



