Nyumbani
Simba yamnyuka Ngome FC

SIMBA SC imeshinda mabao 6-0 dhidi ya Ngome FC katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo Bunju Dar es Salaam.
–
Wafungaji wa mchezo huo ni Aubin Kramo, Shabani Chilunda, Jean Baleke akiweka magoli mawili na Onana moja.