World Cup

Serengeti Girls kibaruani leo

TIMU ya taifa ya wanawake chini ya miaka 17 (Serengeti Girls)inashuka dimbani leo kuikabili Zambia katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia la FIFA U17 2024.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Nkoloma uliopo mji mkuu mkuu wa Zambia, Lusaka.

Fainali za Kombe la Dunia FIFA U17 2024 wanawake zimepangwa kufanyika kuanzia Oktoba 16 hadi Novemba 3, 2024 katika Jamhuri ya Dominica.

Related Articles

Back to top button