World Cup
Kufuzu Kombe la Dunia, Ulaya leo
MITANANGE kadhaa ya kufuzu Kombe la Dunia ukanda wa Afrika na Kombe la Ulaya inapigwa leo kwenye viwanja tofauti.
Mechi za kufuzu Kombe la Dunia ukanda wa Afrika ni kama ifuatavyo:
KUNDI A
Ethiopia vs Burkina Faso
KUNDI B
Sudan Kusini vs Mauritania
Togo vs Senegal
KUNDI C
Lesotho vs Benin
Rwanda vs Afrika Kusini
KUNDI D
Eswatini vs Cape Verde
Libya vs Cameroon
Mauritius vs Angola
KUNDI E
Niger vs Zambia
KUNDI G
Botswana vs Guinea
Somalia vs Uganda
KUNDI H
Malawi vs Tunisia
Sao Tome na Principe vs Namibia
Michezo ya kufuzu Kombe la Ulaya leo ni kama ifuatavyo:
KUNDI B
Gibraltar vs Nitherlands
Igiriki vs Ufaransa
KUNDI D
Croatia vs Armenia
Wales vs Uturuki
KUNDI I
Andorra vs Israel
Kosovo vs Belarus
Romania vs Uswisi