EPL
Saka kupigwa pingu Arsenal

ARSENAL itatangaza kuingia mkataba mpya na winga Bukayo Saka wiki ijayo. Taarifa ya Fabrizio Romano imeeleza.
Taarifa ya mwandishi wa habari huyo wa zamani wa Sky Sport imesema kuwa makubaliano yote yameafikiwa tangu mwezi Februari.
Imeelezwa mkataba wa Saka utaisha mwaka 2028.




