Kwingineko

Real Madrid vs Liverpool: mtanange wa kisasi

MCHEZO wa marudiano Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Real Madrid na Liverpool unapigwa leo kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu.

Liverpool itataka kulipiza kisasi cha kichapo cha magoli 5-2 katika mchezo wa kwanza.

Mchezo mwingine wa michuano hiyo ni kati ya Napoli na Eintracht Frankfurt.

Related Articles

Back to top button