Africa
53 minutes ago
Hapatoshi CAFCL wikiendi hii
Kwingineko
1 hour ago
Ronaldo uso kwa uso na Trump
Mastaa
3 hours ago
KUELEKEA mchezo wa kufuzu Ligi ya mabingwa Afrika kati ya Yanga na Al Hilal ya Sudan Oktoba 8, Kocha Mkuu…
Read More »
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Erling Haaland analipwa pauni zinazokaribia 900,000 sawa na shilingi bilini 2.35 kwa wiki, ripoti zimesema. Nyota…
Read More »
RAIS wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said amewaahidi wachezaji wa timu hiyo kuwa watapata zawadi ya fedha endapo wataifunga…
Read More »
TIMU ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17(Serengeti Boys) leo inaanza kampeni ya kufuzu fainali za Kombe…
Read More »
CAIRO: VIGOGO wa Afrika, Al Ahly, Mamelodi Sundowns na Esperance de Tunis, Simba na Yanga wanatarajiwa kulinda heshima ya nyumbani katika mechi zao za ufunguzi wa hatua ya makundi ya…
AMSTERDAM: KOCHA mkongwe Dick Advocaat amesema kufuzu kwa taifa dogo la Curaçao katika Kombe la Dunia ni “kitu cha ajabu zaidi” kuwahi kutokea katika maisha yake yote ya ukocha. Kisiwa…
DAR ES SALAAM: KOCHA wa Simba Queens Mussa Hassan ‘Mgosi’ amesema soka la wanawake limebadilika siku hizi hakuna timu ya kudharau kila mpinzani wanamuheshimu na kuuchukulia mchezo kama fainali. Kauli…
MUMBAI: MUIGIZAJI na ikoni ya mitindo huko Bollywood, Sonam Kapoor Ahuja, ametangaza rasmi kwamba yeye na mumewe Anand Ahuja wanatarajia mtoto wao wa pili. Wawili hao tayari ni wazazi wa…
LOS ANGELES: WAANDAAJI wa tuzo za Oscars 2026 wameahidi kutanua wigo wa tuzo hizo na kuongeza ubunifu mbalimbali ikiwemo kuonesha vipengele vyote vya tuzo 24 mubashara. Waandaaji hao wamethibitisha kwamba…
WASHINGTON DC: MWANASOKA maarufu duniani Cristiano Ronaldo ambaye sasa anakipiga katika timu ya Al Naasr ya Saudi Arabia akiwa na mchumba wake Georgina wamekutana na kuzungumza na Raisi wa Marekani…