Africa
15 minutes ago
Ibenge: Tunahitaji umakini michezo ijayo
Muziki
57 minutes ago
ARSENAL itatangaza kuingia mkataba mpya na winga Bukayo Saka wiki ijayo. Taarifa ya Fabrizio Romano imeeleza. Taarifa ya mwandishi wa…
Read More »
ORODHA ya makocha wanaowania tuzo ya kocha bora msimu wa 2022/2023 imetoka ambapo jumla ya makocha sita wanawania nafasi hiyo.…
Read More »
KOCHA wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amesisitiza kuwa bado wana ari ya kupambana na kupata matokeo yatakayowapeleka kwenye fainali Ligi…
Read More »
UNAWEZA kusema ndoa imevunjika kati ya Manchester United na Alex Tuanzebe baada ya kuthibitika kuwa beki huyo raia wa England…
Read More »
DAR ES SALAAM- KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesisitiza haja ya wachezaji wake kuongeza umakini wa kiuchezaji, uimara wa kisaikolojia na matumizi sahihi ya nafasi katika michezo ijayo,…
MEXICO: TASNIA ya filamu na sanaa ya maigizo nchini Mexico imekumbwa na pigo kubwa baada ya kifo CHA mmoja wa waigizaji wa fiamu ya Apocalypto iliyotoka mwaka 2006, Gerardo Taracena,…
LOS ANGELES: MSANII chipukizi wa muziki wa pop kutoka Afrika Kusini, Tyla, ameandika historia mpya katika tuzo za Grammy 2025 baada ya kushinda tuzo yake ya pili, akiwashinda mastaa wakubwa…
LONDON, UINGEREZA BEKI wa heshima wa soka la Kenya Collins Sichenje amefanikiwa kujiunga na klabu ya Charlton Athletic ya nchini Uingereza. Sichanje amefanikiwa kiutia saini mkataba wa miaka miwili na…
ZANZIBAR: TAMASHA la 23 la Kimataifa la Muziki, Sauti za busara linatarajiwa kuanza Februari 5 hadi 8, 2026 visiwani Zanzibar zikiwa siku nne za kuburudika na muziki wa live kutoka…
DAR ES SALAAM: KLABU ya Yanga inatarajiwa kusafiri leo kuelekea Rabat, Morocco, kwa ajili ya mchezo muhimu wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS FAR…