Nyumbani
Okwa atinga Ihefu

KLABU ya Ihefu imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Nelson Okwa.
Simba iliachana na Okwa wakati wa dirisha dogo la usajili lililofungwa hivi karibuni.
“NELSON OKWA IS HERE.Welcome Attacking Midfielder,”imesema Ihefu.
Ihefu pia imemsajili Victor Akpan aliyekuwa akikipiga Simba.