Ligi KuuNyumbani

Nyoni aibukia Namungo

SIKU moja baada ya klabu ya Simba kumpa Thank You Erasto Nyoni, timu ya Namungo imetangaza kumsajili mchezaji huyo.

Nyoni ni miongoni mwa wachezaji sita ambao hadi sasa Simba imetangaza kuwa hawatakuwepo kwenye kikosi hicho msimu ujao.

“Tunayofuraha kuwataarifu kuwa Erasto Edward Nyoni amejiunga kuitumikia Timu yetu ya Namungo Fc akitokea Simba Sc,” imesema taarifa ya Namungo.

Nyoni ni mchezaji wa kwanza Namungo kutangaza kujiunga na timu hiyo.

Related Articles

Back to top button