Ligi Ya WanawakeNyumbani

Nyasi kuwaka moto Alliance vs Tigers wanawake leo

LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara(SLWPL) inaendelea leo kwa mchezo mmoja mkoani Mwanza.

Katika mchezo huo Alliance Girls itakuwa mwenyeji wa The Tigers Queens kwenye uwanja wa Nyamagana.

Michezo minne ya SLWPL imepigwa Machi 22 na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:

Yanga Princess 1-1 Simba Queens
Baobab Queens 0-3 JKT Queens
Amani Queens 2-5 Ceasiaa
Mkwawa Queens 0-2 Fountain Princess

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button