AFCONAfricaKwingineko
Ni patashika kufuzu AFCON, Euro

MICHUANO ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika(AFCON) 2023 inaendelea leo kwa michezo kadhaa huku ile ya Euro 2024 ikianza viwanja mbalimbali.
Katika michuano ya AFCON mechi tano zinapigwa leo kama ifuatavyo:
Kundi E
Madagascar vs Jamhuri ya Afrika ya Kati
Ghana vs Angola
Kundi G
Congo vs Sudan Kusini
Kundi H
Zambia vs Lesotho
Kundi I
Gabon vs Sudan
Katika michuano ya Euro 2024 mechi nane zinapigwa kwenye viwanja tofauti kama ifuatavyo:
Kundi C
Italia vs England
Macedonia Kaskazini vs Malta
Kundi H
Kazakhstan vs Slovenia
Denmark vs Finland
San Marino vs Ireland ya Kaskazini
Kundi J
Bosnia and Herzegovina vs Ireland
Ureno vs Liechtenstein
Slovakia vs Luxembourg