Nyumbani
Ni Biashara vs Pan ligi ya Championship

LIGI ya Championship inaendelea leo kwa mchezo mmoja mkoani Mara.
Katika mechi hiyo Biashara United itakuwa nyumbani kupambana na Pan African kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma.
Biashara United inashika nafasi ya 9 katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 24 baada ya michezo 23 wakati Pan African ip nafasi ya 10 ikiwa na pointi 23.