Ligi KuuNyumbani

Namungo vs Coastal dimbani leo

LIGI Kuu soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa kwenye uwanja wa Majaliwa mkoani Lindi.

Wagosi wa Kaya, Coastal Union ya Tanga ni wageni wa Namungo.

Namungo inashika nafasi ya 4 ikiwa pointi 7 baada ya michezo 3 wakati Coastal Union ipo nafasi ya 9 ikiwa pointi 4 baada ya idadi kama hiyo ya michezo.

Katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu kati ya timu hizo Juni 20, 2022, Coastal Union iliifunga Namungo kwa bao 1-0 kwenye uwanja wa Ilulu, Lindi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button