Nyumbani
Mkutano Mkuu Yanga leo

Mkutano Mkuu wa kawaida wa wanachama wa klabu ya Yanga 2023 unafanyika leo Dar es Salaam.
Mkutano huo ni wanachama wa matawi ya Yanga waliohakikiwa nchi nzima.
Aidha mkutano wa Yanga unafanyika wakati klabu mbalimbali zikiwa kwenye harakati za kujiiamarisha kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano.