Miguel Gamondi Kocha Mkuu mpya Yanga

TIMU ya YANGA imemtangaza Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina kuwa Kocha Mkuu mpya wa klabu hiyo.
Kocha huyo ametangazwa leo wakati wa Mkuu Mkuu wa kawaida wa Yanga uliofanyika Dar es Salaam.
Gamondi anachukua nafasi ya Nasreddine Nabi aliyeachia ngazi Juni 15.
Ifuatayo ni historia ya Miguel Gamondi katika kazi za ukocha:
1998–1999 Racing Club de Avellaneda
2000- Al-Ahly (Tripoli) (Kocha Msaidizi)
2001–2002 Burkina Faso (Kocha Msaidizi)
2002–2003 Wydad AC (Kocha Msaidizi)
2004- Espérance Sportive de Tunis (Kocha Msaidizi)
2005–2006 Mamelodi Sundowns
2007- Hassania Agadir
2007–2009 Platinum Stars
2010–2011 CR Belouizdad
2011–2012 Ittihad Kalba
2012- USM Alger
2013–2014 CR Belouizdad
2014- Al Urooba
2015–2017 Hassania Agadir (Mkurugenzi wa Ufundi)
2017–2019 Hassania Agadir
2020- Wydad AC
2021– IR Tanger