AFCONAfrica

Mali kuwaondoa wenyeji AFCON leo?

MICHEZO miwili ya robo fainali za mwisho za michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON) 2023 inapigwa leo huku wenyeji Ivory Coast ikiikabili Mali.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja La Pax uliopo jiji la Bouaké katikati ya Ivory Coast.

Katika robo fainali nyingine Cape Verde itaikabili Afrika Kusini kwenye uwanja wa Charles Konan Banny uliopo mji mkuu, Yamoussoukro.

Nchi zilizofuzu nusu fainali ya AFCON ni Nigeria na Jamhuri ya Kidemokrasi.

Related Articles

Back to top button