Featured

Liverpool vs Real Madrid ni kisasi, ubabe UCL

MICHEZO miwili ya hatua ya 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya(UCL) inapigwa leo huku mechi kivutio ikiwa kati ya Liverpool na Real Madrid.

Mchezo kati ya Liverpool na Real Madrid utapigwa kwenye dimba la Anfield ukiamualiwa na mwamuzi wa kati, Istvan Kovacs kutoka Romania.

Katika michezo mitano ya mwisho kati ya timu hizo ya michuano hiyo Real Madrid imeshinda mara tano, Liverpool mara moja na zimetoka suluhu mara moja.

Napoli itakuwa ugegeni dhidi ya Eintracht Frankfurt katika mchezo mwingine utakaopigwa uwanja wa Deutsche Bank ukiamuliwa na mwamuzi
wa kati, Artur Dias wa Ureno.

Related Articles

Back to top button