Featured

Kocha Simba akamatwa dawa za kulevya

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA) inawashikilia watu 9 kwa tuhuma za kukutwa na jumla ya kilo 34.89 za dawa aina ya Heroin miongoni mwao akiwemo Kocha wa makipa wa Klabu ya Simba Muharami Said Mohamed.

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Kamishna Jenerali wa DCEA Gerald Kusaya amesema mtuhumiwa mwingine miongoni mwao ni mfanyabishara na mmiliki wa kituo cha michezo cha Cambiasso kilichopo, Kigamboni Dar es Salaam Kambi Zubeir Seif.

Amesema watuhumiwa hao wamekamatwa wakati wa operesheni ya mamlaka katika maeneo mbali mbali ya nchini.

Related Articles

Back to top button