Kwingineko
Kivumbi Milan vs PSG Ulaya leo

MILAN: MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo kwa michezo nane katika viwanja tofauti huku kivutio kikiwa mechi kati ya AC Milan na Paris Saint-Germain kundi F.
Mechi nyingine ni kama ifuatavyo:
KUNDI E
Atletico Madrid vs Celtic
Lazio vs Feyenoord
KUNDI F
Borussia Dortmund vs Newcastle United
KUNDI G
FK Crvena Zvezda vs RB Leipzig
Manchester City vs Young Boys
KUNDI H
Shakhtar Donetsk vs Barcelona
FC Porto vs Royal Antwerp