Ligi Ya WanawakeNyumbani

Kivumbi Ligi Kuu wanawake leo

LIGI Kuu ya mpira wa wanawake Tanzania Bara(TWPL) inaendelea leo kwa michezo minne kwenye viwanja tofauti.

Yanga Princess itakuwa ugenini uwanja wa Nyamagana, Mwanza kuivaa Allience Girls wakati Geita Gold Queens itakuwa mwenyeji wa Simba Queens kwenye uwanja wa Nyankumbu, Geita.

Baobab Queens itakuwa mwenyeji wa Amani Queens kwenye uwanja wa Jamhuri, Dodoma wakati JKT Queens itaikaribisha Ceasiaa Queens kwenye uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, Dar es Salaam.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button