Africa

JKT Queens kufuzu CAF leo?

TIMU ya JKT Queens leo inashuka dimbani nchini Uganda kuivaa CBE Womens ya Ethiopia katika fainali kuwania kufuzu michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake ukanda wa CECAFA.

Mchezo huo utafanyika uwanja wa FTC uliopo Njeru jijini Kampala.

Kutinga fainali JKT Queens imeitoa Buja Queens ya Burundi wakati CBE imeitoa Vihiga Queens ya Kenya.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button