Ligi Ya WanawakeNyumbani

JKT Queens kuendeleza ubabe SWPL leo?

MICHEZO miwili ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara(SWPL) inapigwa leo Dar es Salaam na Arusha.

Kwenye uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, Dar es Salaam, JKT Queens itakuwa mwenyeji wa Amani Queens wakati Ceasiaa Queens ni wageni wa The Tigers Queens kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Dar es Salaam.

JKT Queens inashika nafasi ya 2 katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 31 baada ya michezo 13 wakati Amani Queens ni ya 9 ikiwa na pointi 4 baada ya michezo 12.

Ceasiaa Queens ipo nafasi ya 7 ikiwa na pointi 17 baada ya michezo 13 wakati The Tigers Queens inashika nafasi ya 8 ikiwa na pointi 7 baada ya michezo 13.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button