Africa
Horoya mdomoni mwa Simba leo

Wekundu wa msimbazi, leo inashuka dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuikabili Horoya ya Guinea katika mchezo wa marudiano C Ligi ya Mabingwa Afrika.

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa Conakry, Guinea, Horoya iliifunga Simba goli 1-0.
Mechi hiyo ya kundi C ni mojawapo ya michezo mitano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayopigwa leo mingine ikiwa kama ifuatavyo:
Kundi A
AS Vita Club vs Wydad Casablanca
JS Kabylie vs Petro Atletico
Kundi B
Al Hilal Omdurman vs Mamelodi Sundowns
Kundi C
Vipers vs Raja Casablanca