EuropaKwingineko
Europa, Conference league 16 bora leo

MECHI 16 za kwanza za michuano ya Europa League na Europa Conference league hatua ya 16 bora zinapigwa leo viwanja tofauti.
Hatua hiyo ni mtoano itakayobakisha timu nane zitakazocheza hatua ya robo fainali.
Mechi hizo ni kama ifuatavyo:
EUROPA LEAGUE
Feyenoord vs Roma
Galatasaray vs Sparta Prague
Shakhtar Donetsk vs Marseille
Young Boys vs Sporting CP
AC Milan vs Rennes
Benfica vs Toulouse
Lens vs Freiburg
SC Braga vs Qarabag FK
EUROPA CONFERENCE LEAGUE
Molde vs Legia Warszawa
Olympiacos vs Ferencvaros
Sturm Graz vs Slovan Bratislava
Union St Gilloise vs Eintracht Frankfurt
Ajax vs Bodo/Glimt
Maccabi Haifa vs Gent
Real Betis vs Dinamo Zagreb
Servette vs Ludogorets Razgrad