Kwingineko

Kivumbi Milan vs Dortmund UCL leo

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi inaendelea leo kwa michezo nane kwenye viwanja tofauti.

Mchezo kivutio ni kati ya AC Milan dhidi ya Borussia Dortmund kundi F kwenye uwanja wa San Siro uliopo jiji la Milan, Italia.

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa Dortmund, Ujerumani timu hizo zilitoka suluhu.

Michezo mingine ni kama ifuatavyo:

KUNDI E
Lazio vs Celtic
Feyenoord vs Atletico Madrid

KUNDI F
Paris Saint Germain vs Newcastle United

KUNDI G
Manchester City vs RB Leipzig
Young Boys vs FK Crvena Zvezda

KUNDI H
Shakhtar Donestsk vs Royal Antwerp
Barcelona vs FC Porto

Related Articles

Back to top button