Etihad kuwaka moto EPL leo
MITANANGE ya ligi 5 bora barani Ulaya inaendelea leo kwa michezo kadhaa huku mechi kivutio ikiwa ya Ligi Kuu England(EPL) kati ya Manchester City na Chelsea.
Manchester City ipo nafasi ya pili katika msimamo wa EPL ikiwa pointi 52 baada ya michezo 23 wakati Chelsea inashika nafasi ya 10 ikiwa na pointi 34 baada ya michezo 24.
Katika michezo 10 iliyopita ya mashindano yote kati ya timu hizo Manchester City imeshinda 6, sare 1 na chelsea imeshinda 3.
Michezo mingine ya ligi hizo 5 bora ulaya ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE
Brentford vs Liverpool
Burnley vs Arsenal
Fulham vs Aston Villa
Newcastle United vs Bournemouth
Nottingham Forest vs West Ham United
Tottenham Hotspur vs Wolves
LALIGA
Atletico Madrid vs Las Palmas
Osasuna vs Cadiz
Celta Vigo vs Barcelona
Valencia vs Sevilla
SERIE A
Napoli vs Genoa
Verona vs Juventus
Atalanta vs Sassuolo
BUNDESLIGA
Darmstadt vs VfB Stuttgart
FC Heidenheim vs Bayer Leverkusen
Hoffenheim vs Union Berlin
Mainz vs Augsburg
Wolfsburg vs Borussia Dortmund
RB Leipzig vs Borussia Monchengladbach
LIGUE 1
Lille vs Le havre
Nantes vs Paris Saint-Germain




