Africa

Dkt Tulia mgeni rasmi Simba vs Wydad

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba na Wydad AC Aprili 22.

Simba itakuwa mwenyeji wa Wydad ya Casablanca, Morocco kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Mchezo wa marudiano utafanyika Casablanca Aprili 28, 2023.

 

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button