Kwingineko
Patashika Ligi ya Mabingwa Ulaya kuendelea leo
MECHI za michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya(UCL) hatua ya makundi zinaendelea leo mitanange ikipigwa viwanja tofauti.
Michezo hizo za makundi manne ni kama ifuatavyo:
KUNDI A
Galatasaray vs FC Copenhagen
Bayern Munich vs Manchester United
KUNDI B
Arsenal vs PSV Eindhoven
Sevilla vs Lens
KUNDI C
Real Madrid vs Union Berlin
SC Braga vs Napoli
KUNDI D
Benfica vs FC Salzburg
Real Sociedad vs Inter
Matokeo ya michezo iliyofanyika Septemba 19 ni kama ifuatavyo:
KUNDI E
Feyenoord 2-0 Celtic
Lazio 1-1 Atletico Madrid
KUNDI F
AC Milan 0-0 Newcastle
Paris Saint-Germain 2-0 Borussia Dortmund
KUNDI G
Young Boys 1-3 RB Leipzig
Manchester City 3-1 FK Crvena Zvezda
KUNDI H
Barcelona 5-0 Royal Antwerp
Shakhtar Donetsk 1-3 FC Porto




