Burudani
Vita ya Mondi, Kiba ihamie kwenye filamu

Mwigizaji wa filamu nchini Idris Sultan aitaka vita ya wasanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba na Naseeb Abdul ‘’Diamond Platnum ihamie upande wa filamu.
Kwani imekuwa na faida kwao kutokana na kuachia kazi back to back.
Vita hiyo ya maneno mitandaoni imemkubusha enzi hizo wakati waigizaji the late, Steven Kanumba na Vincent Kigosi, ‘’Ray’ wakicharuana.
“Kanumba na Ray walikuwa kutwa kutupiana maneno na presha presha wakapiga kazi kweli kweli. Mondi na Kiba vile vile. Aiisee Bongo Movie mmoja anitukane ili niwahi Hollywood”ameandika Idris.



