EPLKwinginekoLa Liga

Ni vita Man City vs Arsenal leo

VITA ya kuwania ubingwa Ligi Kuu England(EPL) kati ya vinara Arsenal na wapinzani wakuu Manchester City itashuhudiwa leo wakati timu hizo zitakapokutana katika mchezo wa marudiano kwenye uwanja wa Etihad.

Arsenal inaongoza EPL ikiwa na pointi 75 baada ya michezo 32 wakati Man City ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 70 lakini ikiwa nyuma michezo miwili kabla ya huu wa leo.

Michezo mingine ya EPL inayopigwa leo pamoja na ya ligi nyingine kubwa Ulaya na nusu fainali kombe la Italia ni kama ifuayavyo:

PREMIER LEAGUE
Nottingham Forest vs Brighton
Chelsea vs Brentford
West Ham vs Liverpool

LALIGA
Atletico Madrid vs Mallorca
Getafe vs Almeria
Celta Vigo vs Elche
Rayo Vallecano vs Barcelona

NUSU FAINALI KOMBE LA ITALIA
Inter vs Juventus

Related Articles

Back to top button