Ligi Ya WanawakeNyumbani
Nusu fainali Ligi Daraja la Kwanza Wanawake 2023 leo

MECHI za nusu fainali Ligi Daraja la Kwanza Wanawake 2023 inafanyika leo jijini Mwanza.
Katika nusu fainali ya kwanza Bunda Queens itaivaa Ukerewe Queens kwenye uwanja wa Nyamagana.
Nusu fainali ya pili Geita Gold Queens itamuumana na Bilo kwenye uwanja huo huo.