Featured
Yanga yamsajili Mudathir Yahya

KLABU ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo Mudathir Yahya kwa mkataba wa miaka miwili.
Mudadhiri aliyekuwa akikipiga Azam anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa Yanga katika dirisha dogo.
Yanga ilitangaza kuwa ina mpango wa kusajili wachezaji wasiopungua watatu katika dirisha hilo.