Michezo Mingine

TAWOSKA wapania kuendeleza Karate

Naibu Katibu Mkuu Saidi Yakubu akiwa katika mkutano na viongozi wa TAWOSKA.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Micchezo Saidi Yakubu amekutana na viongozi wa chama cha Wanawake wa Karate Tanzania (TAWOSKA) kujadili jinsi ya kuendeleza mchezo huo kwa Wanawake hapa nchini.

Mkutano huo umefanyika leo katika ofisi ya programu ya Ukombozi wa Bara la Afrika jijini Dar es Salaam.

Karate ni aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini Japan ulioanzishwa kwenye kisiwa cha Okinawa na kusambaa duniani baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia 1945.

Related Articles

Back to top button