KwinginekoLa LigaSerie A
Patashika ligi kuu 3 bora Ulaya

MITANANGE ya ligi za mpira wa miguu katika mataifa mbalimbali zinaendelea leo zikiwemo tatu bora barani Ulaya.
Michezo hiyo ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE
Burnley vs Brentford
Luton Town vs Nottingham Forest
Fulham vs Tottenham Hotspur
LALIGA
Mallorca vs Granada
Osasuna vs Real Madrid
Getafe vs Girona
Athletic Club vs Deportivo Alaves
SERIE A
Monza vs Cagliari
Udinese vs Torino
Salernitana vs Lecce
Frosinone vs Lazio