Africa
52 minutes ago
Hapatoshi CAFCL wikiendi hii
Kwingineko
1 hour ago
Ronaldo uso kwa uso na Trump
Mastaa
3 hours ago
MICHEZO sita ya Ligi Kuu England(EPL) inapigwa leo kwenye viwanja tofauti huku mashabiki wa soka wakisubiri kwa hamu dabi kati…
Read More »
KUMEKUWA na ongezezko la imani kwamba klabu ya Arsenal inakaribia kukubaliana na Shakhtar Donetsk kuhusu kumsajili kiungo Mykhailo Mudryk mwezi…
Read More »
Mauricio Pochettino anakodolea macho sakata linaloendelea Chelsea ‘The Blues’ huku shinikizo likiendelea kupanda kwa dhidi ya Graham Potter. Potter, kocha…
Read More »
KLABU ya Aston Villa imekubali dili la kumsajili beki wa kushoto wa Real Betis ya Hispania Alex Moreno kwa pauni…
Read More »
CAIRO: VIGOGO wa Afrika, Al Ahly, Mamelodi Sundowns na Esperance de Tunis, Simba na Yanga wanatarajiwa kulinda heshima ya nyumbani katika mechi zao za ufunguzi wa hatua ya makundi ya…
AMSTERDAM: KOCHA mkongwe Dick Advocaat amesema kufuzu kwa taifa dogo la Curaçao katika Kombe la Dunia ni “kitu cha ajabu zaidi” kuwahi kutokea katika maisha yake yote ya ukocha. Kisiwa…
DAR ES SALAAM: KOCHA wa Simba Queens Mussa Hassan ‘Mgosi’ amesema soka la wanawake limebadilika siku hizi hakuna timu ya kudharau kila mpinzani wanamuheshimu na kuuchukulia mchezo kama fainali. Kauli…
MUMBAI: MUIGIZAJI na ikoni ya mitindo huko Bollywood, Sonam Kapoor Ahuja, ametangaza rasmi kwamba yeye na mumewe Anand Ahuja wanatarajia mtoto wao wa pili. Wawili hao tayari ni wazazi wa…
LOS ANGELES: WAANDAAJI wa tuzo za Oscars 2026 wameahidi kutanua wigo wa tuzo hizo na kuongeza ubunifu mbalimbali ikiwemo kuonesha vipengele vyote vya tuzo 24 mubashara. Waandaaji hao wamethibitisha kwamba…
WASHINGTON DC: MWANASOKA maarufu duniani Cristiano Ronaldo ambaye sasa anakipiga katika timu ya Al Naasr ya Saudi Arabia akiwa na mchumba wake Georgina wamekutana na kuzungumza na Raisi wa Marekani…