Featured
Liverpool vs Napoli ubabe ulaya

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi inaanza kufikia tamati leo kwa michezo 8 katika viwanja tofauti.
Mchezo kivutio ni wa kundi A ukihusisha Liverpool kuikaribisha Napoli katika uwanja wa Anfield uliopo eneo la Merseyside, Liverpool.
Michezo mingine leo ni kama ifuatavyo:
Kundi A
Rangers vs Ajax
Kundi B
Bayer Leverkusen vs Club Brugge
FC Porto vs Atletico Madrid
Kundi C
Bayern Munich vs Inter
Victoria Plzen vs Barcelona
Kundi D
Marseille vs Tottenham Hotspur
Sporting CP vs Eintracht Frankfurt