EPLKwingineko

Kivumbi Man UTD vs Chelsea

LIGI Kuu England inaendelea leo kwa mchezo mmoja ukipigwa Old Trafford, Manchester United ikiikaribisha Chelsea.

Timu hizo zitaingia dimbani zikiwa na malengo tofauti ambapo United ikitaka ushindi ili kujihakikishia nafasi ya nne bora wakati Chelsea itakuwa ikitafuta heshima.

Katika mchezo wa kwanza uliofanyika Stamford Bridge Oktoba 22, 2022 timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.

Kwingine katika Ligi Kuu Hispania, LaLiga mechi mbili zitapigwa leo Valencia ikiwa mgeni wa Mallorca wakati Osasuna itaikaribisha Athletic Bilbao.

Related Articles

Back to top button