Kivumbi Man City vs Liverpool, Bayern vs Dortmund

LIGI za nchi mbalimbali barani ulaya zinaendelea leo huku kivutio kikiwa Manchester City dhidi ya Liverpool na Bayern Munich kuikabili Borussia Dortmund.
Ligi hizo zilisimama kupisha michuano ya kufuzu Kombe la Ulaya(Euro 2024).
Mechi za ligi hizo ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE:
Manchester City vs Liverpool
AFC Bournemouth vs Fulham
Arsenal vs Leeds United
Brighton vs Brentford
Crystal Palace vs Leicester City
Nottingham Forest vs Wolves
Chelsea vs Aston Villa
LA LIGA
Girona vs Espanyol
Athletic Bilbao vs Getafe
Cadiz vs Sevilla
Elche vs Barcelona
SERIE A
Cremonese vs Atalanta
Inter vs Fiorentina
Juventus vs Verona
BUNDESLIGA
Freiburg vs Hertha Berlin
RB Leipzig vs Mainz
Schalke 04 vs Bayer Leverkusen
Union Berlin vs VfB Stuttgart
Wolfsburg vs Augsburg
Bayern Munich vs Borussia Dortmund
LIGUE 1
Auxerre vs Troyes
Rennes vs Lens