Kwingineko
Kivumbi Ligi ya Mabingwa Ulaya

MECHI za hatua ya makundi michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya(UCL) zinaanza kutimua vumbi leo
Timu za makundi manne zitakipiga kama ifuatavyo:
KUNDI E
Feyenoord vs Celtic
Lazio vs Atletico Madrid
KUNDI F
AC Milan vs Newcastle United
Paris Saint-Germain vs Borussia Dortmund
KUNDI G
Young Boys vs RB Leipzig
Manchester City vs FK Crvena Zvezda
KUNDI H
Barcelona vs Royal Antwerp
Shakhtar Donetsk vs FC Porto