Picha

Amshaamsha za mashabiki mapokezi Stars

DAR ES SALAAM: AMSHAAMSHA za mashabiki Uwanja wa Ndege ya Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, ambako timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kuwasili Dar es Salaam asubuhi hii, ikitokea nchini Morocco ambako ilikwenda kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025).

Back to top button