Featured
AC Milan vs Chelsea patashika Ligi ya Mabingwa

MICHUANO ya ligi ya mabingwa Ulaya inaendelea leo kwa michezo 8 katika viwanja tofauti.
Mchezo unaoonekana kuwa kivutio ni wa kundi E kati ya AC Milan na Chelsea utakaopigwa dimba la San Siro.
Michezo mingine ya Ligi ya Mabingwa leo ni kama ifuatavyo:
Kundi E
Dinamo Zagreb vs FC Salzburg
Kundi F
Celtic vs RB Leipzig
Shakhtar Donesk vs Real Madrid
Kundi G
FC Copenhagen vs Manchester City
Borussia Dortmund vs Sevilla
Kundi H
Maccabi Haifa vs Juventus
Paris Saint-Germain vs Benfica