Ligi KuuNyumbani

Simba vs Mbeya City mtifuano leo

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba leo itakuwa mwenyeji wa Mbeya City katika mchezo pekee wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Simba ipo nafasi ya 2 katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 44 baada ya michezo 19 wakati Mbeya City ina pointi 21 katika nafasi ya 10.

Katika mchezo wa kwanza uliofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Novemba 23, 2022 timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button