Featured

Mandla kocha wa viungo Simba

KLABU ya Simba imemteua Kelvin Mandla kutoka Afrika Kusini kuwa kocha wa viungo wa timu hiyo.

Mandla ameitumikia Orlando Pirates kwa miaka miwili, amewahi kuwa sehemu ya Kaizer Chiefs na pia mtaalamu michezo wa timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Afrika Kusini chini ya miaka 17.

Simba ipo katika harakati za kusuka benchi la ufundi ili kuimarisha kikosi chake kwa lengo la kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali yanayoikabili.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button