Europa

Verratti kutimkia Qatar

KIUNGO wa Kitaliano, Marco Verrati leo atakamilisha uhamisho wake katika klabu ya Al-Arab ya nchini Qatar akitokea PSG ya Ufaransa.

Taarifa ya Fabrizio Romano jana ilieleza kuwa mchezaji huyo atawasili Doha leo kukamilisha usajili huo wa €45m.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button