Ligi Daraja La Kwanza

Zuchu auota urais

 

Msanii Zuhura Othuman, Zuchu amesema kuwa akichaguliwa kuwa Rais kutakuwa hakuna kufanya kazi asubuhi.

Kupitia ukurasa wake wa istagramu Zuchu amesema akiwa Rais kazi zitaanza saa tano.

“Mkinichagua kuwa Rais, hakuna kufanyakazi asubuhi mnalala kazi zitaanza kuanzia saa tano.”

Related Articles

Back to top button